Chambeshi (mto)

(Elekezwa kutoka Mto Chambeshi)

Chambeshi (pia Chambezi) ni tawimto kubwa la mto Lualaba na ilhali chanzo chake ni chanzo cha mbali kati ya matawimto ya beseni la Kongo kinatazamwa pia kama chanzo cha mto Kongo wenyewe.

Mto Chambeshi (sehemu nyekundu) katika ramani.

Chanzo hicho kipo nchini Zambia karibu na Ziwa Tanganyika kwenye kimo cha mita 1,760 juu ya UB.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

11°28′S 30°21′E / 11.467°S 30.350°E / -11.467; 30.350

  Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chambeshi (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.