Mto Ekulu

Mto Ekulu ni mto unaopatikana nchini Nigeria[1].

Chanzo cha mto Ekulu kinapatikana katika mji wa Enugu katika Jimbo la Enugu, mashariki mwa Nigeria.

Mto Ekulu una urefu wa kilomita 25.

MarejeoEdit

  1. https://www.geonames.org/2343622/river-ekulu.html

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Ekulu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.