Mto Faro ni mto uliopo nchini Nigeria.[1]

Ramani inayoonyesha bonde la mifereji ya maji ya Mto Benué. Mto wa Faro unaweza kuonekana kusini mwa hiyo.

Chanzo chake kinapatikana kwenye uwanda wa juu wa Adamawa(kwa kiingereza: Adamawa Plateau) ambao unapatikana kusini-mashariki mwa mji wa Ngaoudere. Ni mto wa pembeni wa mto Benue.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit