Indus (mto)

(Elekezwa kutoka Mto Indus)

Mto Indus {Kiurdu: سندھ Sindh; Kipunjabi Sindhu; Kihindi na Sanskrit: सिन्धु Sindhu; Kifarsi: حندو Hindu; Kigiriki: Ινδός Indos} ni mto mrefu wa Bara Hindi na mto mkubwa nchini Pakistan.

Mto Indus (Sindh, Hind)
Picha ya beseni ya Indus kutoka angani
Picha ya beseni ya Indus kutoka angani
Chanzo Nyanda za juu za Tibet
Mdomo Bahari Hindi
Nchi za beseni ya mto China (Tibet), Uhindi, Pakistan
Urefu 3,200 km
Kimo cha chanzo 5,300 m
Kiasi cha maji kinachotolewa mdomoni 6,600 m³/s
Eneo la beseni (km²) 1,165,000 km²

Chanzo chake kipo katika China (Tibet) ikiendelea kupitia Uhindi na Pakistan. Jina la Uhindi limetokana na jina la mto.

Maji ya Indus hutumiwa kwa mwagiliaji ni uti wa mgongo kwa sehemu kubwa ya kilimo cha Pakistan.

Viungo vya Nje Edit

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Indus (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.