Mto Akanyaru

(Elekezwa kutoka Mto Kanyaru)

Mto Akanyaru (pia: Kanyaru)[1] ni mto uliopo nchini Burundi na Rwanda unaounganika na mto Nyawarongo kutiririsha maji yake hadi kuingia katika ziwa Viktoria, mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.

Mto Akanyaru katika beseni la mto Kagera (katikati)

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Akanyaru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.