Mto Nyawarongo
Mto Nyawarongo (pia: Nyabarongo, Nyawarungu)[1] ni mto uliopo nchini Burundi, Rwanda na Tanzania unaounganika na mto Ruvuvu kuendelea kutiririsha maji yake kwa kilomita 400 kuingia katika ziwa Viktoria.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Nyabarongo, tovuti ya geonames.org
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Nyawarongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |