Mto Kazingwe ni jina la mito miwili inayopatikana kusini mwa Burundi (mkoa wa Makamba).

Maji huelekea ziwa Tanganyika, Mto Kongo na hatimaye bahari ya Atlantiki.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Kazingwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.