Mto Mayanja (Kafu)

(Elekezwa kutoka Mto Mayanja (Mukono))

Mto Mayanja unapatikana nchini Uganda (huanzia wilaya ya Wakiso, hupitia ndani au mpakani mwa wilaya ya Mpigi, wilaya ya Kiboga, wilaya ya Kyankwanzi na kuishia wilaya ya Nakaseke). Una urefu wa kilomita 150.

Mito na maziwa ya Uganda.

Ni tawimto la Mto Kafu ambao unaingia katika Nile ya Viktoria.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri