Mto Mponde (Singida)

(Elekezwa kutoka Mto Mponde)

Mto Mponde ni jina la mto wa mkoa wa Singida (Tanzania ya kati).

Beseni la ziwa Sulunga (kijani).

Mto huo hauelekei bahari wala ziwa lolote la kudumu, ila unaunda madimbwi mengi ya kinamasi cha Bahi (ziwa Sulunga).

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri