Mto Mponde (Singida)
Mto Mponde ni jina la mto wa mkoa wa Singida (Tanzania ya kati).
Mto huo hauelekei bahari wala ziwa lolote la kudumu, ila unaunda madimbwi mengi ya kinamasi cha Bahi (ziwa Sulunga).
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
hariri- www.fao.org/docrep/005/t0473e/T0473E09.htm Uvuvi wa maji baridi nchini Tanzania
- https://books.google.com/books?isbn=9251029830 Uvuvi wa maji baridi nchini Tanzania
- https://books.google.com/books?isbn=2831701856 Semina kuhusu vinamasi nchini Tanzania
- http://www.geonames.org Geonames.org
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Mponde (Singida) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |