Mto Ngong (Nairobi)

Mto Ngong (Nairobi) ni jina la mmoja kati ya mito inayopatikana katika kaunti ya Nairobi nchini Kenya.

Kati ya mito ya jiji hilo, Mto Motoine unafululiza katika Dimbwi la Nairobi, ziwa lililofanywa na wanadamu kutoa maji ya kunywa kwa wakazi wa Nairobi. Mbele zaidi huendelea kama Mto Ngong.

Maji ya mmojawapo yanaishia katika mto Athi-Galana-Sabaki na hatimaye katika Bahari ya Hindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri