Mto Ruhudji
Mto Ruhudji ni mto wa Tanzania unaochangia mto Mnyera, tawimto la mto Kilombero, unaotiririka hadi kuungana na mto Luwegu kuunda mto Rufiji ambao unaishia katika Bahari Hindi.
Pia Ruhudji ndiyo mto mkubwa mkoani Njombe ambao umekatisha katikati ya Njombe mjini ndipo inapopatikana pacha ya Makambako na Makete baada ya kuvuka daraja kubwa la mto huo kutoka makao makuu ya mkoa wa Njombe.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Ruhudji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |