Mto Ruhwa
Mto Ruhwa (pia: Lua, Luha, Luhwa, Luwa na Ruwa) unapatikana nchini Rwanda na Burundi.
Ni tawimto la mto Ruzizi ambao hutiririsha maji yake hadi kuingia katika ziwa Tanganyika. Kutoka huko maji yanaelekea mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Ruhwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |