Mto Rukarara unapatikana nchini Rwanda. Ni tawimto la mto Mwogo, ulio tawimto muhimu zaidi la mto Nyawarongo ambao hutiririsha maji yake hadi kuingia katika ziwa Viktoria, mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.

mto Rukarara

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Rukarara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.