Mto Ruvuvu (pia Ruvubu au Rurubu) ni mto ambao unaanzia nchini Burundi na kuishia Tanzania ambapo unaungana na mto Nyabarongo kutoka Rwanda kuunda mto Kagera ambao unaishia katika Ziwa Viktoria.

Mto Ruvuvu (kushoto) ukiungana na mto Nyabarongo (kulia).

2°23′23″S 30°46′52″E / 2.38972°S 30.78111°E / -2.38972; 30.78111

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Ruvuvu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.