Orodha ya mito nchini Tanzania

(Elekezwa kutoka Orodha ya mito ya Tanzania)

Orodha ya mito nchini Tanzania inaitaja zaidi ya 2,000, lakini hiyo ni baadhi tu.

Imepangwa kwa taratibu mbalimbali kama ifuatavyo:

  1. kadiri inavyoelekeza maji yake katika Bahari ya Hindi mashariki mwa nchi ama moja kwa moja ama kwa kuchangia Mto Zambezi kupitia Ziwa Nyasa, lakini kuna pia mito michache inayochangia Bahari ya Kati kupitia Ziwa Viktoria na mto Naili, na mingine tena Bahari Atlantiki kupitia Ziwa Tanganyika, huku mingine inaishia katika mabonde nchini kama la Ziwa Rukwa;
  2. kadiri ya mikoa inapopatikana;
  3. kadiri ya alfabeti.

Kadiri ya beseni

hariri

Pwani ya mashariki ya Tanzania

hariri

Beseni la mto Zambezi

hariri

Beseni la mto Nile

hariri

Beseni la mto Kongo

hariri

Mabeseni ya ndani

hariri

Kwa mpangilio wa mikoa

hariri

Kwa utaratibu wa alfabeti

hariri

Baadhi ya mito huenda ikaorodheshwa mara mbili kwa tahajia tofauti kidogo.

Viungo vya nje

hariri