Mto Sibiti (pia: Sibili) una urefu wa kilometa 75 ukiunganisha Ziwa Eyasi na Ziwa Kitangiri, ambayo yote mawili yanapatikana kusini kwa Hifadhi ya Serengeti, Tanzania. Ni mpaka kati ya mikoa ya Singida na Simiyu.

Tawimto ni moja, mto Semu, lakini katika beseni hilohilo kuna mito mingine kama ifuatavyo:

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

3°49′S 34°46′E / 3.817°S 34.767°E / -3.817; 34.767

Viungo vya nje hariri