Surinam (mto)
(Elekezwa kutoka Mto Surinam)
Mto Surinam ni kati ya mito mikubwa nchini Surinam (Amerika Kusini). Bwawa la Brokopondostuwmeer inagawa mto katika sehemu mbili.
Surinamerivier | |
---|---|
Chanzo | Milima ya Wilhelmina (Surinam) |
Nchi | Surinam |
Urefu | 480 km |
Kimo cha chanzo | 900 m |
Tawimito | Commewijne |
Mkondo | m³/s |
Eneo la beseni | 16,500 km² |
Miji mikubwa kando lake | Paranam, Paramaribo |
Inapita katika mji mkuu Paramaribo.
Viungo vya Nje
hariri- Picha za mto Surinam wa kusini (kiholanzi) Ilihifadhiwa 9 Desemba 2013 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Surinam (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |