Mto Wase ni mto unaopatikana katika mji wa Wase, jimbo la Plateau nchini Nigeria. Mto huu unaunganika na Mto Benue jijini Dampar huko kitongoji cha Ibi[1] [2]

Mto Wase ni mto unaopatikana ndani ya mji wa Wase

Mto huu umbali wake ni km 132 (mi 82)

Mahindi, magimbi, maembe na mboga za majani ni mazao yanayooteshwa pembezoni mwa mto huu.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Google Earth". earth.google.com. Iliwekwa mnamo 2020-02-07.
  2. https://www.geonames.org/2319113/river-wase.html
  Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Wase kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.