Mto Yamba ni mto unaopatikana katika kijiji cha Njiwa juu kata ya Njiwa, mkoa wa Morogoro, unaotiririsha maji yake katika bonde la Mto Kilombero.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

{mito ya Tanzania}}