Bilton anthony22
Imejiunga 12 Juni 2017
UGALI
haririugali ni chakula kinacholiwa na jamii ya kiafrica. chakula hiki chenye virutubisho vya wanga hutokana na unga wa muhogo au nafaka na ugali ni miongoni mwachakula kinacho faa zaidi kwa wale wanao fanya kazi ngumu hasa kulima kufua chuma kubeba mizigo n.k
ugali hutayarishwa kwa njia ihuatayo ; kwaza chemsha maji mpaka yachemke kisha changanya pembeni unga na maji ya baridi,kisha changanya mchanganyiko huo na maji ya moto yanayo chemka.acha mchanganyiko huwo kwamuda kisha weka ungakulingana na ujiwako,kisha songa kwa mwiko mpaka ushikaane ,huu ndio unaitwa ugali