Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)


Edwin Simiyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi, kitivo cha Uhandisi, mwaka wa Pili. Nimefaidika pakubwa na Wikipedia katika kufanya utafiti na ningependa kuchangia katika jumuia hii ili wengine wafaidike pia. Natumai kuendeleza kanuni za Wikipedia na kukutana na waandishi wengine katika ulimwengu wa tovuti.

Kiswahili ni lugha yenye utajiri mwingi,huku ikizungumuzwa katika mataifa mengi,kwingine inafunza kama lugha ya kigeni. Ni furaha kwangu kuchangia katika Kamusi elezo huru.