Mimi ni Peter Kiki au ukipenda Joseph Kivuva kutoka Chuo Kikuu Cha Strathmore,Nairobi-Kenya.
Nafanya somo la Teknolojia ya Habari yaani Information Technology kwa Kimombo.

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Strathmore.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)