Mtumiaji:Jackson Mujungu/Svetlana Alekseeva

Svetlana Alekseeva

hariri
 
Svetlana Alexeeva mnamo mwaka 2010

Svetlana Lvovna Alekseeva (amezaliwa mnamo tarehe 16 Machi mwaka 1955) ni kocha wa mchezo wa kuteleza na mchezaji wa zamani wa kuchezea barafu.

Maisha yake ya kazi

hariri

Alianza kufanya kazi kama kocha mwaka 1977 na alifanya kazi na Tatiana Tarasova kwa miaka kumi na tatu. Toka mwaka 2001, alikuwa kocha pamoja na Elena Kustarova. Katika majira ya joto mwaka 2006, walihamia Blue Bird FSC huko Moscow na kisha Medvedkovo katika majira ya joto mwaka 2012.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Здесь и сейчас | : История становления группы Алексеевой — КустаровойМосковский фигурист" (kwa Kirusi). Iliwekwa mnamo 2022-12-10.