Jackson Mujungu

hariri

Jackson Mujungu alizaliwa mnamo agosti 1, mwaka 1998 huko mjini Musoma, mkoani Mara. Jackson ni mtoto wa tatu kuzaliwa katika familia ya watoto saba ambayo inajumuisha ndugu zake wengine Ester, Sabhi, Elphace, Faith, Tumsifu na Mikeeno.