Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)
Jina langu ni Jackson Ndegwa.Mimi nimkaazi wa Nairobi na mwanafunzi wa mwaka wa nne katika Chuo Kikuu Cha Nairobi.Nafurahia kujiunga na jamii ya Wikipedia katika kuendeleza mada yake ya kuelimisha ulimwengu katika kila lugha.Tazamo kuu kwangu ni kusaidia katika mwelekeo wa kuwawezesha waongeaji wa Lugha sanifu ya Swahili kupata tovuti yenye maelezo mufti.