Jacob S Nyirenda akiwa Dar es salaam 2021

Jacob Saulo Nyirenda(amezaliwa juni 21, 1997), ni kijana wa kitanzania anae julikana kwa majina kama jacobgijjah au jeco kwenye mitandao ya kijamii. Ni muhitimu wa shahada ya sayansi katika mifumo ya habari - BSC.IS katika Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOM 2023).