Najuilikana kama King Ngwaba lakini jina langu halisi ni Rajab Omar Shaame.

Nimezaliwa 28 December 1985 katika Kijiji cha Kengeja, Wilaya ya Mkoani katika Mkoa wa Pemba Kusini visiwani Zanzibar (maana) nchini Tanzania.