Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu lugha mama yake ni Kiswahili.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.

Mimi ni Muigai Dan mzaliwa wa Kenya. Nilizaliwa mwaka wa 1987 Disemba katika mji wa Kitale wilaya ya Trans-Nzoia, mkoa wa Riftvalley. Mimi ni mzaliwa wa pili katika familia ya watoto wanne: kaka wawili na dada mmoja.

Kabila langu ni Mkikuyu na bila shaka mimi naweza kuiongea lugha hii kaw ufasaha. Vilevile ninazifahamu lugha nyinginezo: Kiswahili, Kingereza na Kikamba.

Nilisomea shule ya msingi inaiyoitwa Mukuyu huko Kitale kabla ya kujiunga na shule ya upili ya St.Josephs Boys Kitale.Baada ya miaka minne nilifanikiwa kuupita mtihani wa kidato cha nne(KCSE),kisha ni kajiunga na chuo kikuu cha Kenyatta kilicho Karibu na barabara ya Thika,maarufu kama 'Thika road' mjini Nairobi.

Huku Kenyatta university nafanya shahada ya "software Engineering".


{

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Kenyatta.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)