Wikipedia:Babel
ksb Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kishambala Fasaha.
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.
Nikiwa studio mjini Zanzibar mnamo Februari - 2010

Mimi jina langu ni Shadrack Naftal Masaga ni msanii mwanamuziki, Mtayarishaji wa muziki (Produza) na mwandishi wa habari wa kujitegemea. Nimezaliwa August 8, 1975 katika kijiji cha Bumbuli, wilaya ya Lushoto mkoa wa Tanga Tanzani.

Ni mwandishi wa Makala katika Wikipedia ya Kiswahili kuanzia mwaka 2010. Ninapenda sana kuandika kuhusu watu mbalimbali maarufu wa Africa ya Mashariki.