Shadrack Masaga
Imejiunga 9 Septemba 2010
(Elekezwa kutoka Mtumiaji:Shadracknaftal)
Wikipedia:Babel | |||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
|
Mimi jina langu ni Shadrack Naftal Masaga ni msanii mwanamuziki, Mtayarishaji wa muziki (Produza) amezaliwa August 8, 1975 katika kijiji cha Bumbuli, wilaya ya Lushoto mkoa wa Tanga Tanzani.
Ni mwandishi wa Makala katika Wikipedia ya Kiswahili kuanzia mwaka 2010.