Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu lugha mama yake ni Kiswahili.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.

Ninaitwa Yusuph Abdallah. Ninatokea Dar es Salaam, Tanzania. Ninapenda kusoma Wikipedia na kuchangia vilevile. Ni rafiki wa "Muddyb". Ninapenda kuandika makala za dini, mapenzi, maisha na muziki.