Zawadi Beatus Lupelo, ni mtanzania wa kuzaliwa,Mzaliwa na mwenyeji wa Mbalizi, Mbeya. Kwa sasa anaishi jijini Dar es salaam akijishughulisha na shughuli za uwakili wa kujitegemea anafanya kazi na ofisi ya mawakili iitwayo Law Wheels Associates iliyopo maeneo ya Mwenge, Kinondoni, Dar es salaam .

Zawadi Lupelo

Jinsia: Mwanaume
Kuzaliwa: Wilaya ya Mbeya[Mkoa wa Mbeya[ Tanzania| EA]]
makazi: Dar es Salaam, TZ
Mhitimu wa: Chuo Kikuu cha Dodoma
Shule ya Sheria ya Tanzania
Wikipedia:Babel
en This user is a native speaker of English.
sw-2 Mtumiaji huyu anaweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha katikati.
rw-2 Uyu ukoresha ashobora kugiramo uruhare n'Ikinyarwanda kiringaniye.