Mahsein Awadhi
(Elekezwa kutoka Muhsein Awadh)
Mahsein Awadhi Said (alizaliwa 20 Julai, ?) ni mtunzi, mwongozaji, na mwigizaji wa tamthilia na filamu kutoka nchini Tanzania. Amepata umaarufu chini ya jina la Dk. Cheni kupitia igizo mbalimbali chini ya Kaole Sanaa Group. Mbali na sanaa, Mahsein pia ni mshereheshaji katika sherehe mbalimbali. Kuna wakati alisimama kabisa kuigiza na kuendelea kufanya kazi ya u-MC.[1]
Mahsein Awadhi | |
---|---|
Mahsein Awadh akiwa katika kazi yake ya ushereheshaji (MC). | |
Amezaliwa | 20 Julai Tanzania |
Kazi yake | mtunzi, mwongozaji, na mwigizaji wa tamthilia na filamu kutoka nchini Tanzania |
Baadhi ya filamu alizocheza
haririHii ni sehemu ya filamu alizocheza.[2]
- Hukumu Yangu
- Majanga
- Flashback
- Docta wa Kifimbo
- Dhuluma
- Jesica
- Umetuumiza
- My Life
- Nipende Monalisa
- Pooja
- My Flower
- Kiapo
- Mafisadi wa Mapenzi
- Toughlife
- 14 Days
- My Dreams
- Danger Zone
- My Baby
- Orphan
- Taste of Love
- The Stolen Will
- The Cold Wind
- A Point of No Return
- Penina
Marejeo
hariri- ↑ "DK CHENI AKIRI KUIPA KISOGO SANAA". Global Publishers. 2019-05-23. Iliwekwa mnamo 2021-07-31.
- ↑ "Mahsein Awadh | Actor, Director, Producer, — Bongo Movies - Buy Tanzania Movies and DVD's Online". www.bongocinema.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-31. Iliwekwa mnamo 2021-07-31.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mahsein Awadhi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |