Murcia
Murcia ni mji wa Hispania, makao makuu ya jumuia ya kujitegemea ya Murcia.

Tarehe 1 Januari 2019 wakazi wake walikuwa 447,182, ukiwa wa saba nchini kwa wingi wa watu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMurcia travel guide kutoka Wikisafiri
- Ayuntamiento de Murcia – the Town Hall (Kihispania)
- Postal Codes Murcia
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Murcia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |