Musée d'Orsay

Orsay ni jumba la makumbusho la mjini Paris, Ufaransa.

MuseeOrsay 20070324.jpg

Lilifunguliwa mwaka 1986 katika eneo la 57,400.

Mwaka 2007 ulitembelewa na watu 3 200 000.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Musée d'Orsay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.