Mutomo ni mji wa Kenya kusini katika kaunti ya Kitui.

Una wakazi 17,000 hivi.

Pia ni kata ya Eneo bunge la Kitui Kusini[1].

Tanbihi

hariri