Eneo bunge la Kitui Kusini


Eneo bunge la Kitui Kusini ni mojawapo ya Majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo nane ya Kaunti ya Kitui, Mashariki mwa Kenya. Lina wodi sita, zote zikichagua madiwani kwa baraza la Kitui County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1963, ambao ulikuwa wa kwanza kwa Jamhuri ya Kenya. Wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1988 na 1992, Jimbo la uchaguzi la Mutomo.

Wabunge

hariri
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Philip Nzuki Mbai KANU
1969 Philip Nzuki Mbai KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Patrice Mwangu Ivuti KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Patrice Mwangu Ivuti KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 E. Mwangu Ivuti KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Philip Nzuki Mbai KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Isaac Mulatya Muoki KANU
1997 Samuel Kalii Kiminza SDP
2002 Patrice Mwangu Ivuti Ford-Asili
2007 Issac Mulatya Muoki ODM-Kenya
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili
Ikanga / Kyatune 9,261
Ikutha / Kasala 6,892
Kanziko / Simisi / Mathima 7,199
Maluma / Athi / Kalivu 9,018
Mutha / Ndakani 4,310
Mutomo / Kibwea 7,024
Jumla 43,704
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri