Mvungunya
Mvungunya (Kigelia africana) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mvungunya, mvungavunga, mbungati, mranaa au mwegea (Kigelia africana) ni mti mwenye matunda kwa umbo wa soseji kubwa (mavungunya). Kwa asili mti huu unatokea Afrika ya tropiki lakini umepandwa kama mti wa kupamba katika mabara mengine. Mavungunya hutumika katika uganga wa mapokeo na ili kutengeneza pombe ya kienyeji (Kikikuyu: mũratina).
Picha
hariri-
Majani
-
Maua
-
Ua
-
Tunda (vungunya)
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mvungunya kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |