Mwaloni
Mwaloni (Quercus suber)
Mwaloni (Quercus suber)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fagales (Mimea kama mwaramoni)
Familia: Fagaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mwaramoni)
Nusufamilia: Quercoideae
Jenasi: Quercus
L.
Ngazi za chini

Spishi >500, 7 katika Afrika:

Mialoni (kwa Kiingereza: oak) ni miti ya jenasi Quercus katika familia Fagaceae. Kuna spishi takriban 500 za miti hiyo, nyingi katika Amerika Kaskazini na saba katika Afrika ya Kaskazini.

Majani yake yana rangi ya kijani iliyokolea na hayapuputiki wakati wa kiangazi.

Spishi za Afrika

hariri
  • Quercus canariensis, Mwaloni wa Kanari
  • Quercus coccifera, Mwaloni majani-miiba
  • Quercus faginea, Mwaloni wa Ureno
  • Quercus ilex, Mwaloni majani-magumu
  • Quercus lusitanica, Mwaloni wa Hispania
  • Quercus pyrenaica, Mwaloni wa Pirenei
  • Quercus suber, Mwaloni-koki
  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwaloni kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.