Vincent Kigosi
Vincent Kigosi (maarufu kama Ray; amezaliwa 16 Mei 1980) ni mwigizaji, mwongozaji na mtayarishaji mkubwa wa filamu kutoka nchini Tanzania.[2] Makao makuu yake ni Dar-es-Salaam.[3]
Vincent Kigosi | |
---|---|
Amezaliwa | Vincent Kigosi 16 Juni 1980[1] |
Majina mengine | Ray The Greatest |
Kazi yake | |
Ndoa | Chuchu Hans |
Watoto | Jaden The Greatest |
Kigosi vilevile anajiita Mr. Nollywood,[4] japokuwa ametengeneza filamu nyingi za Bongo Films.
Kigosi alianza kazi ya uigizaji mwaka 2000 kupitia vipindi vya televisheni na soap opera halafu akaanza kucheza katika filamu mbalimbali.
Ana kampuni yake mwenyewe ya filamu, akiwa na mwigizaji mwenzake Blandina Changula (Johari), maarufu kama RJ Company.
Filmografia
hariri- Sikitiko Langu (akiwa na Steven Kanumba, Nuru Nasoro, Blandina Changula)
- Dangerous Desire (akiwa na Steven Kanumba, Nuru Nasoro and Blandina Changula)
- Johari (akiwa na Steven Kanumba, Blandina Changula)
- Peace of Mind (akiwa na Irene Uwoya, Jacob Stephen, Blandina Changula)
- Wicked Love (akiwa na Aunty Ezekiel na Blandina Changula)
- Waves of Sorrow (akiwa na Rose Ndauka, Yobnesh Yusuph na Slim Omary)
- Oprah (akiwa na Steven Kanumba na Irene Uwoya)
- Off Side (akiwa na Steven Kanumba, Jacob Stephen na Irene Uwoya)
- Woman of Principles (akiwa na Elizabeth Michael na Nargis Mohamed)
- Family Disaster (akiwa na Elizabeth Michael na Diana Kimaro)
- My Dreams (akiwa na Irene Uwoya, Rose Ndauka, Mahsein Awadh, Shamsa Ford na Elizabeth Michael)
- Sobbing Sound (akiwa na Irene Uwoya na Haji Adam)
- Unpredictable (akiwa na Irene Paul)
- Handsome wa Kijiji (akiwa na Irene Paul na Flora Mvungi)
- Danger Zone (akiwa na Aunty Ezekiel, Mahsein Awadh, Elizabeth Gupta, Blandina Changula)
- I Hate my Birthday (akiwa na Aunty Ezekiel na Irene Paul)
- Fair Decision
- Surprise
- V.I.P
- Chickens Head
- Too Much
- Twisted
- Second Wife
- The Glory of Ramadhani
- Hard Price
- Shell
- Shakira
- One Blood
- The Image
- Behind the Scene
- Revenge
- Fake Pastors
- Hot Friday
- Full Moon
- Divorce
- Angers Face
- From China With True Love
- Fan's Death
- Pretty Girls
- Yellow Banana
- Bad Luck
Marejeo
hariri- ↑ "Vincent Kigosi- English biography". bongocinema.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-07-04. Iliwekwa mnamo 20 Februari 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-03. Iliwekwa mnamo 2017-09-11.
- ↑ http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=29300
- ↑ Mahir Saul, Ralph A. Austen. Viewing African Cinema in the Twenty-First Century: Art Films and the ... uk. 84.
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vincent Kigosi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
[[Jamii:Afrocine 2019-Tanzania]