Mwanga wa ulimwengu
Mwanga wa ulimwengu (kwa Kigiriki φώς τοῦ κόσμου, Phṓs tou kósmou) ni neno ambalo Yesu alilitumia kujitambulisha pamoja na wanafunzi wake katika Agano Jipya[1]: linapatikana katika Injili ya Yohane kumhusu yeye (8:12; 9:5) [2] na katika Injili ya Mathayo 5:14 kuhusu wanafunzi.
Tanbihi
hariri- ↑ Names and Titles of the Lord Jesus Christ by Charles Spear 2003 ISBN 0-7661-7467-0 page 226
- ↑ New Testament christology by Frank J. Matera 1999 ISBN 0-664-25694-5 page 235
Viungo vya nje
hariri- media kuhusu Light of the world pa Wikimedia Commons
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwanga wa ulimwengu kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |