Mwita Mwikwabe Waitara

Mwita Mwikwabe Waitara (amezaliwa 17 Julai 1976) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha siasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ukonga kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Juni 2017