Mzee Masharubu ni jina la uhusika kutoka katika tamthilia ya Siri ya Mtungi kutoka nchini Tanzania. Uhusika umechezwa na MacDonald Haule. Huyu ni baba mzazi wa Nusura. Mtu mmoja dhulmati sana. Maisha yake karibia yote ya kunjunga na kuumiza wengine. Mtu asiyefaa katika jamii. Madili ya mjini, hayamwachi kando. Ana njia zake za kuingiza mizigo ya magendo. Amekuwa akipapurana sana na Duma katika biashara zake hadi kupelekea mauti yake. Vilevile alikuwa mwenye nyumba katika banda ambalo Duma alipanga. Jitu la kunyanyasa watu na asiye na huruma hata kwa mwanawe.[1]

Masharubu
muhusika wa Siri ya Mtungi

Taswira ya Mzee Masharubu (uhusika umechezwa na MacDonald Haule)
Imebuniwa na MFDI Tanzania
Imechezwa na MacDonald Haule
Misimu
1, 2
Maelezo
Jinsia Kiume
Kazi yake Tapeli, dhulmati, jangili, mpiga dili
Utaifa Mtanzania

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. Mzee Masharubu Ilihifadhiwa 21 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine. katika wavuti rasmi ya Siri ya Mtungi.