Nadia Yassir
Nadia Yassir ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Marisol Nichols.
Nadia Yassir | |
---|---|
muhusika wa 24 | |
Marisol Nichols kama Nadia Yassir | |
Imechezwa na | Marisol Nichols |
Idadi ya sehemu | 24 |
Hali | Yu hai |
Misimu | 6 |
Maelezo |
Alianza kutambulakana katika Msimu wa 6 wa mfululizo huu, na anafanya kazi katika Kitengo cha Kuzuia Ugaidi cha Los Angeles (CTU), tawi dogo la CIA. Kwa muda mfupi katika msimu wa sita, akachukua nafasi ya Bill Buchanan akiwa kama Mkurugenzi wa CTU baada ya kuachishwa kazi kwa Buchanan.
Viungo vya Nje
hariri- Nadia Yassir profile at FOX.com Ilihifadhiwa 2 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.