Naeem M. Abdurrahman

Dk. Naeem M. Abdurrahman (aka Naeem Al-Gheriany) ni mwanasayansi wa nyuklia wa Libya, mhandisi . Aliteuliwa kuwa Waziri wa Elimu na Utafiti wa Kisayansi wa Libya tarehe 22 Novemba 2011 na Aliekua Waziri Mkuu Abdurrahim El-Keib . [1]

Maisha na Elimu

hariri

Gheriany alizaliwa Tripoli, mwaka 1954 na alimaliza shule ya msingi na sekondari huko Tripoli.

Mapema miaka ya 1970, Gheriany alipata ufadhili wa masomo kutoka kwa serikali ya Libya na kuhamia Marekani kufuata masomo yake ya shahada ya kwanza na elimu ya juu. Alipata B.Sc. kwa heshima katika Uhandisi wa Nyuklia na B.Sc. kwa heshima katika Fizikia ya Uhandisi kutoka Chuo Kikuu cha Tennessee huko Knoxville kabla ya kurudi Libya mnamo 1978 kufanya kazi kama msaidizi wa kufundisha katika Chuo Kikuu cha Tripoli. [2] [3]

Marejeo

hariri
  1. "Declaration of the new transitional government in Libya". Retrieved on 2022-03-20. Archived from the original on 2012-12-04. 
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2022-03-20.
  3. http://www.arabvoices.net/archives/110223_190001av.mp3
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Naeem M. Abdurrahman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.