Nakamikado (14 Januari 170210 Mei 1737) alikuwa mfalme mkuu wa 114 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Yasuhito. Tarehe 27 Julai 1709 alimfuata baba yake, Higashiyama, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 13 Aprili 1735. Aliyemfuata ni mwana wake, Sakuramachi.

Mchoro wa Nakamikado

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nakamikado kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.