Sakuramachi
Sakuramachi (8 Februari 1720 – 28 Mei 1750) alikuwa mfalme mkuu wa 115 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Teruhito. Tarehe 13 Aprili 1735 alimfuata baba yake, Nakamikado, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 9 Juni 1747. Aliyemfuata ni mwana wake, Momozono.
Angalia pia
haririMakala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sakuramachi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |