Namcha Barwa ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 7,756 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Mlima Namcha Barwa

Uko nchini China (Tibet).

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Namcha Barwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.