Nanda Devi ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 7,816 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Mlima Nanda Devi

Uko nchini India.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nanda Devi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.